×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

KTN Leo Wikendi: Mwanamke Ngangari tukimwangazia mwanamke Githurai anayewalisha watoto wasiojiweza

2nd October, 2016

Mtazamaji sio rahisi kwa mtu kuwa radhi kuitwa omba omba almuradi tu watoto wasio wake wafaidike. Kwenye makala ya mwanamke ngangari Sycilia Wakesho anaangazia mwanamke mmoja katika mtaa wa Githurai hapa jijini Nairobi ambaye sifa zake zimetanda kote kwani yeye hurauka na kuwaomba wahisani unga, mchele na hata mboga almradi aweze kuwapikia baadhi ya watoto wasiojiweza katika shule ya msingi ya kimbo, licha ya kuwa anayamudu maisha yake kwa vibarua vya kuwafulia watu nguo. 

.
RELATED VIDEOS