×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

COTU na KNUT zatoa ushauri dhidi ya kampeni za mapema

11th September, 2016

Vyama vya wafanyikazi nchini vimeilaumu serikali ya Jubilee kwa kuanza kampeni za mapema na kusisitiza kuwa hatua hiyo itavuruga uchumi wa Kenya.  Wakizungumza katika mazishi ya aliyekuwa kiongozi wa wafanyikazi halikadhalika waziri msaidizi Dennis Okumu, katibu mkuu wa COTU Francis Atwoli na mwenzake wa KNUT Wilson Sossion walisema kwamba  CORD na Jubilee wanastahili kujiepusha na kampeni za mapema na badala yake washughulikia majukumu yao ya kimsingi. 

.
RELATED VIDEOS