×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Buriani Dadaab 18 Julai 2016 [Sehemu ya Pili]

18th July, 2016

Mogadishu Somalia, nyumbani kwa asilimia kubwa ya wakimbizi wa kambi ya dadaab nchini kenya. Rahma alifika hapa akiwa na miaka kumi na mitatu kutafuta salama, lakini ghafla bin vu hewa ya hifadhi ikamkimbia. Hadithi ya rahma imevuta sikio la wengi , mawanaharakati wa tuzo la amani la nobel , malala yousafzai alipozuru kambi ya dadaab hivi majuzi , alilakiwa na rahma , wawili hawa wakiwa wamepitia kadhia na masaibu sawia , sasa anatajwa kama kioo cha jamii.
.
RELATED VIDEOS