×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Machifu wawili waliosimamishwa kazi wamekamilisha matibabu ya uraibu wa pombe

18th May, 2016

Machifu wawili waliosimamishwa kazi kwa sababu ya kuwa walevi wakiwa kazini wamekamilisha matibabu ya uraibu wa pombe katika hospitali ya Mathari Nairobi. Machifu hao kutoka Nyandarua na Nakuru walitembelewa na mwenyekiti wa shirika la NACADA John Mututho. Mark Namaswa na taarifa zaidi.
.
RELATED VIDEOS