x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Naibu wa Gavana kaunti ya Nakuru Dk. Eric Korir aeleza azimio la kuboresha uga wa Afraha

22, Feb 2021

Naibu Gavana wa kaunti ya Nakuru daktari Eric Korir Kipkoech amedokeza kwamba uga wa Afraha utakarabatiwa na kuwa na hadhi za kimataifa. Akizungumza katika hafla ya tuzo ya SOYA, Korir alieleza wazi azma ya kurejesha shughuli za michezo uwanjani humo.  

Feedback