Lofty Matambo

Reporter

Lofty Matambo

Awali mwaka wa 2013 alikuwa mtayarishi msaidizi na mwelekezi wa makala ya kipindi cha Tazama chini ya shirika la Media Development in Africa (MEDEVA) yaliyokuwa yakipeperushwa kwa runinga ya KTN. Alipata fursa ya kuzuru kaunti mbali mbali nchini kama vile Garissa, Kilifi, Kwale, Lamu, Marsabit na nyenginezo.