×
× KTN NEWS News Business Sports Politics Features Live Schedule E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Kaunti ya Migori inajivunia kuwa na utoshelezo wa chakula licha ya changamoto za wakulima

19th October, 2021

Kaunti ya Migori inajivunia kuwa na utoshelezo wa chakula licha ya changamoto ambazo wakulima wamekabiliwa nazo kutokana na athari za janga la korona, mfumko wa bei ya pembejeo na mabadiliko ya hali ya anga ambayo imekuwa vigumu kutabiri. Haya ni kwa mujibu wa waziri wa kilimo kaunti hiyo Valentine Ogongo. Wakati uo huo, mkurugenzi wa masuala ya kilimo kaunti hiyo Florence Anyango amesisitizia umuhimu wa kuwahamasisha wakulima kuhusu umuhimu wa kuhakikisha kuna utoshelezo wa chakula na lishe bora katika jamii.

.
RELATED VIDEOS