×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mawakala nchini wakongamana Nairobi kuadhimisha miaka miwili ya utendakazi

6th December, 2019

Zaidi ya mawakala elfu moja mia mbili walikongamana jijini Nairobi hapo jana kuadhimisha miaka miwili ya utendakazi wa muungano wa mawakala nchini. Kwenye kongamano hilo ajenda kuu ilifungamana na mazingira mazuri ya utendakazi na changamoto wanazokumbana nazo. Muungano huo unapania kuboresha utendakazi kwa wafanyakazi na mawakala wa kampuni za  bima nchini.

.
RELATED VIDEOS