x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Kilio cha familia Mombasa

17, Sep 2018

Familia moja inayoishi maisha ya uchochole huko ukunda kaunti ya kwale inataka haki kutokana na bwanyenye mmoja anayedai umiliki wa ekari tano za shamba lao. Mesali yussuf anasema mfanyabiashara huyo anawataka kuhama kutoka shamba hilo ambalo ni la baba marehemu baba yao, ambapo hawajawa na amani tangu kifo cha mzee wao mwaka wa 2010. mkurugenzi wa shirika la genesis for human rights commission Caleb Ngwena, anataka serikali kuingilia kati, ili familia hiyo ipate haki.  

Feedback