×
× KTN NEWS News Business Sports Politics Features Live Schedule E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Kuna utata kuhusu Idd ul Adha nchini Kenya

21st August, 2018

Sherehe za Idd ul Adha zinaadhimishwa hivi leo nchini kenya, nchini tanzania na kwingineko duniani ni hapo kesho. Kenya kumekuwa na migawanyiko   kuhusu siku ya leo huku kiongozi wa wengi bungeni aden duale akitishia kuwasilisha ombi kwa tume ya huduma za mahakama J.S.C imchukulie hatua za kisheria kadhi mkuu ahmed modhar kutokana na msimamo wake. Duale anadai kwamba kadhi mkuu alikiuka wajibu wake pale alipoukosoa uamuzi wa waziri wa usalama wa ndani dr. Fred matiang'i wa kutangaza siku ya leo kuwa siku kuu.  Lakini kabla ya kuzungumzia maswala haya yote na kusikia misimamo ya waziri wa utalii najibu balala na pia kiongozi wa wengi bungeni Aden Duale. 

.
RELATED VIDEOS