x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Naomi Shaban akanusha alipokea hongo

20, Aug 2018

Sakata ya rushwa bungeni kuhusu ripoti ya uagizaji wa sukari ya magendo inazidi kuwaandamana wabunge ambao wanadaiwa kupokea shilingi alfu kumi kupinga ripoti ya kamati ya bunge  iliyokuwa ikichunguza sakata hiyo. Sasa mbunge wa taveta Dr. Naomi Shaaban aishutumu kamati iliyotayarisha ripoti hiyo kwa kufanya kazi duni na kukanusha madai kuwa yeye ni mmoja wa wabunge waliopokea hongo kuipinga ripoti hiyo.

Feedback