10th July, 2018
Wizara ya elimu inaunga mkono tangazo la idara ya upelelezi wa jinai dci kuwa rekodi za wanafunzi wote watakaohusika katika migomo, zitanakiliwa katika vyeti vyao vya uadilifu. Wanafunzi watatu wameshakamatwa na kuhukumiwa kifungo gerezani.