×
× KTN NEWS News Business Sports Politics Features Live Schedule E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Machifu waonywa kuhusu silaha haramu Turkana, watakiwa kuwatambua wahalifu | Mbiu ya KTN

14th December, 2019

<style type="text/css">p.p1 {margin: 0.0px 0.0px 0.0px 0.0px; line-height: 20.1px; font: 15.0px 'Microsoft Sans Serif'} </style>

Machifu Kaunti Ya Turkana Wameonywa Kuwa Huenda Wakapoteza Kazi Iwapo Hawatasaidia Kuwatambua Wale Wanaomiliki Silaha Kinyume Cha Sheria. Kamishna Wa Turkana Wambua Muthama Ametoa Onyo Kwa Machifu Wanaowatetea Wahalifu Walio Na Silaha Kuwa Chuma Chao Ki Motoni.

.
RELATED VIDEOS