×
× KTN NEWS News Business Sports Politics Features Live Schedule E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Kinara wa NASA Raila Odinga aongoza viongozi kukutana na rais wa zamani Mwai Kibaki-Mbiu ya KTN

20th April, 2018

Kiongozi wa NASA Raila Odinga na rais mstaafu Mwai Kibaki wamekutana mapema leo katika makazi ya kibaki mtaa wa Muthaiga hapa Nairobi. Viongozi wengine waliokuwepo kwenye mkutano huo ni gavana wa Kisumu Anyang' Nyong'o, wa Nairobi Mike Sonko, mkuu wa utumishi wa umma Joseph Kinyua, mwanawe kibaki jimmy, wakili Paul Mwangi na Nderitu Muriithi. Hata hivyo Odinga amekosa kuzungumza na wanahabari baada ya kukamilisha mkutano huo.

 

.
RELATED VIDEOS