x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Polisi katika eneo la Ndenderu wanachunguza mauaji ya watu wawili wa familia moja

13, Mar 2018

Polisi katika eneo bunge la Kiambaa eneo la Ndenderu wanachunguza mauaji ya watu wawili wa familia moja mbali na visa vingine vinavyoonekana kukithiri eneo hilo. Muuguzi katika hospitali ya St. Teresa Kikuyu alipatikana ameuwawa mita chache kutoka nyumbani kwake huku mwili wa mjombake Kenneth Warunge ukipatikana hatua chache kutoka kituo cha Ndenderu.  Wawili hao wanadaiwa kuuwawa kwa kifaa butu kilichotumiwa kuwagonga kichwani.   

RELATED VIDEOS


Feedback