×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Watu saba wafariki katika barabara ya Kisii-Masimba: Mbiu ya KTN

14th February, 2018

Kwenye habari nyinginezo za ajali huko Kisii, watu saba wamefariki katika barabara ya Kisii-masimba jana jioni, baada ya gari waliloabiri aina ya Toyota Probox kuwagonga dafrau wapita njia watatu na kuwaua pamoja na abiria wanne. Kwa mujibu wa OCPD wa Keroka Philip Wambugu, gari hilo lilikuwa limewabeba abiria kupita kiasi kabla ya ajali hiyo. Manusura walikimbizwa katika hospitali ya rufaa ya Kisii. Wito unatolewa kwa magari ya Probox kuharamishwa kutumika kama  magari ya  uchukuzi.

.
RELATED VIDEOS