Makamu wa Rais Ruto awaomba FKF kuboresha hali ya Kandanda humu Nchini
12, Feb 2016
Makamu wa Rais, William Ruto hivi leo amewashtumu washindi wa kinyang'anyiro wa FKF, Rais Nick Mwendwa na wanakamati wake wa mrengo wa "Team Change". Kuiweka hali la Kandanda humu nchini kikao mbele wanapojitayarisha kuanza kazi. Watch KTN Live http://www.ktnkenya.tv/live Watch KTN News http://www.ktnnews.com Follow us on http://www.twitter.com/ktnkenya Like us on http://www.facebook.com/ktnkenya