×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Wafanyakazi wa kiwanda cha Mumias waitaka kampuni ya Sarrai kuwalipa fedha zao

27th January, 2022

Maafisa wa polisi wametibua mkutano wa wafanyikazi wa kiwanda cha Mumias ambao walikuwa wamekongamana kwenye kiwanda hicho kulalamikia hatua ya kampuni mpya ya Sarrai iliyopewa kandarasi ya kukiendesha kiwanda hicho kwa miaka ishirini ijayo kuwaajiri wafanyikazi wa kigeni na kutowafahamisha mustakali wao ni upi licha ya kiwanda hicho kuwa na madeni ya mamilioni ya fedha kwa wafanyikazi wa kiwanda hicho wa zamani.

Sasa wakiitaka kampuni hiyo kuwalipa fedha zao lau sivyo hawatakubali shughuli kuendelea kama zilivyoratibiwa bila ya kupata malimbikizi yao.

.
RELATED VIDEOS