×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Viongozi wa OKA washutumu Mudavadi na Wetangula kutokana na kile wamesema kuwa ni usaliti

27th January, 2022

Viongozi wa muungano wa One Kenya kwa mara nyingine tena wamewashutumu Musalia Mudavadi na Moses Wetangula kutokana na kile wamesema kuwa ni usaliti baada ya wao kuhama muungano huo na kujiunga na Naibu Rais William Ruto.

Akizungumza katika mikutano ya hadhara katika kaunti ya Kitui kiongozi wa Wiper Kalonzo Musyoka na mwenyekiti wa Kanu Gideon Moi wamesema kuwa Mudavadi na Wetangula walishindwa kustahimili mawimbi ya kisiasa na hivyo kuamua kutoroka.

.
RELATED VIDEOS