×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Upasuaji wa miili iliyopatikana katika mto Yala kuanzia mwezi Oktoba mwaka jana waanza

26th January, 2022

Upasuaji wa miili ishirini na nne iliyopatikana katika mto Yala kuanzia mwezi oktoba mwaka jana ulianza leo katika hospitali ya Yala, huku familia zilizotambua miili ya jamaa zao zikihitajika kusubiri hadi wiki mbili zijazo kwa matokeo ya chembechembe za DNA.

Na sasa viongozi na mashirika ya kutetea haki za binadamu wanaitaka serikali kuweka mpango wa kukusanya chembechembe za DNA wakati wa kuzuiliwa ili kusaidia katika kumtambua yule aliyeaga ama kupotea.

.
RELATED VIDEOS