×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Rais Uhuru awasihi wabunge wa magharibi ya Kenya kuanza kupigia debe muungano wa Azimio la Umoja

25th January, 2022

Rais Uhuru Kenyatta ametoa changamoto kwa wabunge na wasomi kutoka eneo la magharibi ya Kenya kuanza kampeni za kupigia debe muungano wa Azimio la Umoja katika eneo hilo mara moja.

Rais ambaye alifanya kikao na wabunge na wasomi hao katika ikulu ya Nairobi, alisisitiza umuhimu wa jamii ya mulembe kuungana na kupiga kura kwa pamoja wakimuunga mkono kinara wa ODM Raila Odinga kuwa Rais wa taifa hili siku mbili tu baada ya kinara wa ANC Musalia Mudavadi kuungana na naibu wa Rais William Ruto.

Baraza kuu la chama cha ANC limepuzilia mbali madai kuwa Mudavadi hatawania urais na badaala yake ataunga mkono naibu wa rais ifikapo agosti 9 mwaka huu.

.
RELATED VIDEOS