×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mwendazake askofu mkuu mstaafu Desmond Tutu azikwa, ibada ya wafu ya Tutu yafanyika Cape Town

1st January, 2022

Mwanaharakati aliyekuwa mstari wa mbele kupinga utawala uliosheheni ubaguzi wa rangi Afrika Kusini, mwendazake askofu mkuu mstaafu Desmond Tutu amezikwa huku maiti yake ikiyeyushwa na kemikali kwenye ibada ya mazishi iliyofanyika katika kanisa la Anglican Cathedral jijini Cape Town Afrika Kusini.

Mazishi yake ilikuwa ya aina yake kuwai kufanyika ambapo maiti yake iliyeyushwa kwa kemikali na jivu lake kuhifadhiwa katika kanisa la St. Georges Cathedral, ikiwa ni mazishi ambayo wanamazingira wengi wameifurahia.

.
RELATED VIDEOS