×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mume ahadaiwa na Mkewe: Mke alidai bintiye alifariki miezi kadhaa baada ya talaka yao

7th December, 2021

Jamaa mmoja kutoka kijiji cha Muninga Kakamega analilia haki baada ya mke wake kumhadaa kuwa bintiye alifariki miezi kadhaa baada ya talaka yao.

Na hivyo wakafanya tambiko lakuzika mgomba nyumbani kwao, ila ameshangazwa majuzi alipopata mwanawe yuko hai na kumfumania shuleni anakosoma.

Mume huyo sasa anataka kurejeshewa mwanawe ili tambiko jingine la kufukua kaburi lake lifanyike.

.
RELATED VIDEOS