×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Msimamo wa Haji: Haji asema kesi ya Chris Okemo itachukua muda mrefu

3rd December, 2021

Mkurugenzi wa mashtaka ya umma Noordin Naji anasema kwamba kusafirishwa kwa aliyekuwa waziri wa fedha Chris Okemo na pamoja na mkurugenzi wa zamani wa kampuni ya kusambaza umeme nchini Samuel Gichuru hadi kisiwa cha Jersey ambako wana kesi ya kujibu, huenda itachukua muda zaidi. Haji amedokeza kwamba kisiwa hicho pamoja na tume ya kupambana na ufisadi nchini EACC, wataendelea na uchunguzi zaidi kuhusiana na kesi hiyo na huenda mengi zaidi yatajitokeza.

.
RELATED VIDEOS