×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Juhudi za kuwaokoa wachimba migodi walioangukiwa na kuta za migodi zakumbwa na changamoto si haba

3rd December, 2021

Shughuli za uokoaji zinaendelea ili kuwanusuru wachimbaji wanane wa madini waliokwama katika mgodi mmoja wa kuchimba dhahabu baada ya kuta zake kuporomoka jana katika eneo la abimbo  eneo la bondo kaunti ya siaya. Maafisa kutoka shirika la msalaba mwekundu wakishirikiana na maafisa wa kaunti ya siaya wameongoza jitihada za uokozi. Wachimbaji wawili walinusurika baada ya kupata majeraha madogo.

.
RELATED VIDEOS