×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Maandalizi ya mkutano wa jamii ya waluhya kutangaza mgombea wa Urais watakaomuunga mkono yaendelea

2nd December, 2021

Katibu wa muungano wa vyama vya wafanyikazi COTU Francis Atwoli amesema ataujaza uwanja wa Bukhungu tarehe 31 kwenye mkutano wa jamii ya waluhya kutangaza mgombea wa Urais watakaomuunga mkono.

Akizungumza na wanahabari mapema leo alimlaumu seneta wa Bungoma Moses Wetangula kwa kutaja jina lake katika kikao cha seneti huku akimshinikiza kutangaza msimamo kwa anayemuunga mkono katika nafasi ya Urais 2022.

.
RELATED VIDEOS