×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Rais Uhuru aonekana kutangaza kumuunga mkono Raila Odinga kumrithi anapotoka mamlakani

1st December, 2021

Katika kile kinachotafsiriwa kuwa ni kujitokeza hadharani kumtangaza Raila Odinga kama mridhi wake pindi atakapo ondoka mamlakani mwaka ujao, Rais Uhuru Kenyatta sasa amesema kuwa viongozi chipukizi wanapaswa kupunguza kasi na kuwapisha viongozi wazoefu kuchukua uongozi wa taifa.

Raila, ambaye alikuwepo Rais alipotoa matamshi hayo, ameitangaza kile ambacho amekitaja kuwa mkutano kubwa wa Azimo la Umoja tarehe kumi mwezi disemba jijini Nairobi ambapo inatarajiwa kuwa atatangaza azma yake ya kugombea kiti hicho cha urais mwaka ujao.

.
RELATED VIDEOS