×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Huzuni yatanda kaunti ya Kirinyaga baada ya mwanaume kumuua mkewe na wanawe wanne

30th November, 2021

Huzuni umetanda kwenye kijiji cha Kathaka eneo la Gichugu kaunti ya Kirinyaga baada ya mwanamme mwenye umri wa miaka 35 kukiri kumuua mkewe na wanawe wanne. Paul Murage Njuki, amekiri kumuua mkewe baada ya mume huyo kufumaniwa na mke wake akimnajisi bintiye mwenye umri wa miaka 13 na kisha kuwatoa uhai wanawe wanne akiwemo kijana mwenye umri wa mwaka mmoja.

.
RELATED VIDEOS