x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Muungano wa wazazi nchini yadai kuridhishwa na mikakati ya CBC

20, Sep 2021

Mjadala kuhusu mtaala wa elimu wa CBC, ambao umeibua utata kote nchini umeendelea tena leo, muungano wa wazazi nchini sasa ukisema unaridhishwa na mikakati ya CBC. Muungano huo umesema utaenda mahakamani kutetea mtaala huo baada ya kesi ya kuupinga kuwasilishwa. Mwenyekiti wa muungano huo nchini Nicholas Maiyo, amesema kesi iliyowasilishwa mahakamani na mzazi mmoja anayewakilishwa na rais wa chama cha wanasheria nchini Nelson Havi hauna mwelekeo.

Feedback