x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Wadadisi wanahoji umoja katika OKA, bado hakuna mwafaka kuhusu mgombea wa kiti cha Urais

20, Sep 2021

Je kuna uwezekano gani kwamba vigogo wa muungano wa kisiasa wa One Kenya Alliance watakubaliana na kumteua mmoja wao kuwa mgombea wa kiti cha urais kwa tiketi ya muungano huo?  Ndilo swali linaloulizwa na wadadisi wa maswala ya kisiasa   hasa ikizingatiwa kuwa vigogo hao wameonekana kufanya kampeni kila mmoja kivyake bila ushirikiano. Murimi Mwangi anatupa tathmini ya matukio kwenye ndani ya kamati ya kiufundi ya muungano huo na kutueleza ni kwa nini inaonekana hakuna uaminifu baina ya vyama tanzu katika muungano huo.

Feedback