x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Chama cha ODM kimebadilisha msimamo wa kutaka kumtimuwa mwenyekiti wa IEBC Wafula Chebukati

16, Sep 2021

Siku chache baada ya shinikizo kutoka baadhi ya wabunge wa chama cha ODM kutaka kutimuliwa kwa mwenyekiti wa tume ya uchaguzi IEBC, chama hicho sasa kimebadili msimamo. Katibu mkuu Edwin Sifuna akisema chama cha ODM hakina tatizo na Wafula Chebukati. Je ni nini kimesababisha chama hicho kubadili msimamo?

Feedback