x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Kenya yapokea msaada wa dozi 358,700 za chanjo dhidi ya virusi vya covid-19 kutoka nchini Denmark

22, Jun 2021

Ni afueni kwa taifa na kwa wale ambao walikuwa wanasubiri kupokea chanjo yao ya pili dhidi ya virusi vya korona baada ya Kenya kupokea msaada wa dozi 358,700 za chanjo dhidi ya virusi vya covid?19 kutoka nchini Denmark. Kuwasili kwa chanjo hiyo kunatarajiwa kupiga jeki awamu ya pili ya utoaji wa chanjo nchini na huku serikali ikijizatiti kuanzisha shughli ya usambazaji wa chanjo hizo, swala ibuka ni iwapo chanjo hizo zitatumika zote kabla ya muda wa mwisho wa kutumika kufika.

RELATED VIDEOS


Feedback