x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

UMEME WA MAUTI: Waakazi wa vitongoji duni jijini Nairobi wanaishi na hatari ya kuuawa na stima

21, Jun 2021

Umeme ama stima unamanufaa mengi katika maisha ya kila siku. Ila umeme huu umekuwa vilevile chanzo cha majonzi kwa wakenya wengi. Na kama anavyotuarifu Mohammed Awal, katika makala maalum ya Umeme Wa Mauti waakazi wa vitongoji duni jijini Nairobi wanaishi sako kwa bako na hatari ya kuuawa na stima, huku wanabiashara laghai wakiendelea kufaidika.

RELATED VIDEOS


Feedback