x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Kampuni ya Standard yaungana kuanzisha mpango wa kupanda miti ya matunda shuleni

20, Jun 2021

Shirika la Standard Group Plc limetangaza ushirikiano na kampuni ya Uhandisi ya Ashut  pamoja na Shirika la Fruity Schools Africa katika mpango wa upanzi wa miti unaolenga kupanda miche ya miti ya matunda arobaini na moja  katika kila shule zilizolengwa. Miche hiyo iliyopandikizwa kwa lugha ya kitaalam Grafted itapandwa katika jumla ya shule mia tatu thelathini na saba za msingi na sekondari zilizoko katika kaunti ya Nairobi. Mpango huo unalenga kuimarisha upanzi wa miti ya matunda kama njia mojawapo ya kuhakikisha lishe bora humu nchini. 

Feedback