×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Watu 3 wafariki katika ajali ya gari lililoanguka baada ya saa za kafyu, barabara ya Keroka Sotik

19th June, 2021

Ni dhahiri kuwa baadhi ya wakenya bado wanakiuka kanuni za kukabiliana na korona zilizowekwa katika kaunti 13 za magharibi na kanda ya Ziwa Victoria. Abiria watatu walifarikki katika ajali ya gari aina ya Nissan lililoanguka baada ya saa za kafyu katika barabara ya Keroka Sotik. Vivyo hivyo watu kadhaa wamekamatwa na polisi katika maeneo tofauti ya kaunti husika.

.
RELATED VIDEOS