x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Usajili Bandia? Wakenya wadai wamesajiliwa kama wanachama katika vyama tofauti pasi na idhini yao

19, Jun 2021

Kumekuwa na malalamishi kutoka kwa wakenya baada ya baadhi kujipata wamesajiliwa kama wanachama katika vyama tofauti pasi na idhini yao. Hata hivyo msajili wa vyama vya kisiasa amedai kwamba kulikuwa na majaribio ya kusajili wakenya.

RELATED VIDEOS


Feedback