x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Hatma ya miungano mashakani baada ya BBI kugonga mwamba, wengi walitegemea nyadhfa ndani ya BBI

16, Jun 2021

Wagombea wakuu wa kiti cha urais katika uchaguzi mkuu wa mwaka ujao wamejipata kwenye njia panda, kuhusu jinsi ya kubuni miungano ya kisiasa baada ya mchakato wa marekebisho ya katiba kupitia mswada wa bbi kusitishwa na mahakama kuu. Mswada wa BBI ulikuwa na mapendekezo kadhaa ya kuongeza nyadhfa za uongozi kama vile kubuni kiti cha Waziri Mkuu na Manaibu wake wawili nafasi ambazo zilikuwa zikitegemewa na wanasiasa kubuni miungano.

RELATED VIDEOS


Feedback