×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Serikali ya kaunti ya Siaya yatoa wito kwa wanasiasa kusaidia katika vita dhidi ya korona

12th June, 2021

Kwingineko, serikali ya kaunti ya Siaya imetoa wito kwa viongozi wa siasa na vilevile viongozi kwa jumla kutoka kaunti hiyo kusaidia katika vita dhidi ya maambukizi ya virusi vya korona kwa kutohudhuria hafla ambazo zina uwezo wa kuvutia umati mkubwa wa watu kama vile mazishi. Serikali hiyo inasema kwamba hafla hizi zimechangia pakubwa katika viwango vya juu vya maambukizi katika eneo la ziwa victoria haswa kaunti hiyo.  Yanajiri hayo huku kaunti kutoka eneo hilo la ziwa zikiendelea kuongoza katika idadi ya maambukizi mapya ya virusi vya korona nchini.

 

 

.
RELATED VIDEOS