x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Raphael Tuju adai kuwa migogoro ambayo imekuwa ikishuhudiwa chama cha Jubilee imechochewa na ukabila

09, Jun 2021

Katibu mkuu wa chama cha Jubilee Raphael Tuju sasa anadai kuwa migogoro ambayo imekuwa ikishuhudiwa katika chama cha Jubilee imechochewa na ukabila. Tuju amekanusha shutuma kwamba yeye ni mmoja wa viongozi ambao wamefanya chama hicho kikose mwelekeo akisema kuwa chamgamoto kuu imekuwa ni ukabila akidai kuwa kumekuwa na jaribio la kumg’oa mamlakani kwa misingi ya kabila lake. Chama hicho sasa kinajiandaaa kufanya uchaguzi wa mashinani hadi afisi za kitaifa hivi karibuni.

Feedback