x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

David Maraga aonya taifa litakumbwa na vurugu ikiwa Rais Kenyatta ataendelea kupuuza mahakama

09, Jun 2021

Aliyekuwa Jaji Mkuu David Maraga amejitokeza hadharani na kuonya kuwa huenda taifa la Kenya likatumbukia katika machafuko na utawala usiozingatia utawala wa sheria, iwapo Rais Uhuru Kenyatta na utawala wake utaendelea kupuuza maagizo ya mahakama. Kwenye mahojiano ya kipekee na Ktn News, Maraga anasema hatua ya Rais kuacha kuwateuwa majaji sita kwenye orodha ya majaji arobaini iliyowasilishwa kwake na tume ya kuwaajiri wafanyikazi wa mahakama JSC, ni sawa na kuwahukumu machoni pa umma bila kuwasikiza. Maraga amesema atamkumbuka Rais Uhuru Kenyatta kama kiongozi aliyedharau na kudhihaki sheria.  

Feedback