x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Wanariadha 600 wamejiandikisha kwa mbio za Eldoret City huku maandalizi yakishika kasi Eldoret

29, May 2021

Pilka pilka za maandalizi ya mashindano ya Eldoret City Marathon zimeshika kasi huku mikakati kabambe ikiweka kufanikisha shughuli nzima. Kufikia sasa hivi takriban wanariadha 600 wamejiandikisha na idadi hiyo inatarajiwa kuongezeka maradufu ifikapo wiki ijayo. Mbio hizo zitafanyika mnamo tarehe sita mwezi juni mwakani.

Feedback