×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mahakama ya rufaa yatoa amri yake kuhusu ushauri wa jaji mkuu kwa Rais kuvunja bunge

29th May, 2021

Mahakama ya rufaa imetoa amri kusitishwa kwa kesi ambayo imekuwa ikiendelea kwenye mahakama kuu kuhusiana na ushauri wa Jaji Mkuu David Maraga kwa Rais Uhuru Kenyatta kuvunja bunge baada ya wabunge kushindwa kupitisha mswada wa usawa wa jinsia. Mabunge ya kitaifa na seneti yalifika mahakama ya rufaa yakitaka mahakama hiyo kuelezea ikiwa ilikuwa sawa kulingana na katiba kwa aliyekuwa Kaimu Jaji Mkuu Philomena Mwilu kuunda kikosi cha majaji kusikiza kesi hiyo.

 
.
RELATED VIDEOS