×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Marekebisho ya Katiba: Atwoli awashutumu vuguvugu la wabunge wanaopinga mabadiliko ya mswada wa BBI

29th May, 2021

Hisia mseto zinazidi kutolewa baada ya pendekezo kutoka kwa baadhi ya wabunge na maseneta kuchukua mkondo wa kufanya marekebisho kwenye katiba kupitia bunge. Haya yamejiri baada ya Rais Uhuru Kenyatta na kiongozi wa Odm Raila Odinga kuandaa kikao ikulu ya nairobi kabla ya ziara ya rais huko Kisumu, ambapo walihakikishia wafuasi kwambasalamu za heri zingalipo. Je, mkondo wa kupitia bunge kurekebisha katiba utaafikiwa?

.
RELATED VIDEOS