x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Waumini wa dini ya kiislamu walimiminika kusherehekea sikukuu ya Eid katika nyuga kadhaa nchini

14, May 2021

Waumini wa dini ya Kiislamu walimiminika katika nyuga kadhaa kusherehekea sikukuu ya iddi huku macho yote yakielekezewa mataifa ya palestine na israel ambapo kumeripotiwa dhulma dhidi ya haki za binadamu. Na kama anavyoripoti tobias chanji viongozi pia wametaka kusuluhishwa kwa utofauti wa siku za Iddi.

Feedback