x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Pacha wa Kakamega wafaulu katika mtihani wa KCSE 2020, walitambulika sana baada ya kupatana

12, May 2021

Kisa cha kipekee kilichosimuliwa na runinga ya ktn news kuwahusu pacha wa Kakamega Melon Lutenyo na Sharon Mathias ambao walitenganishwa mwaka wa 1999 na baadaye wakakutana kwenye mtandao wa jamii mwaka wa 2019, wanatarajiwa kutengana tena kiutokana na matokeo ya mtihani wa KCSE. Mmoja wao alipta alama C+ na huku mwenzie akipata C.

Feedback