×
× KTN NEWS News Business Sports Politics Features Live Schedule E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mchakato wa BBI: Hatma ya mswada wa BBI kujulikana hapo kesho, mahakama kuu kutoa uamuzi muhimu

12th May, 2021

Baada ya kupitishwa bungeni, na kuvuka vizuizi kadhaa, hatma ya mchakato wa BBI inatarajiwa kujulikana hapo kesho. Mahakama ya juu inatarajiwa kutoa uamuzi kuhusu kesi zilizofikishwa mbele yake kuhusu uhalali wa mchakato wa BBI. Uamuzi huo ukitoa mwanga kama tume ya uchaguzi IEBC, itaendelea na mipango ya kuandaa kura ya maoni au la. Haya yanajiri huku muda wa kubadilishwa kwa katiba ukizidi kuyoyoma.

.
RELATED VIDEOS