x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Timu ya Tusker Fc yapimwa virusi vya Korona, wachezaji waelezea imani yao kushinda ligi kuu

12, May 2021

Awamu ya pili ya kuwapiga wachezaji wa ligi kuu ya soka nchini imefanyika hii leo zikiwa mojawapo ya harakati za kuregea kwa ligi hiyo. Wachezaji wa timu za mbalimbali zikiwemo Tusker, Western Stima, Nairobi City Stars, Kariobangi Sharks, Afc Leopards, Bandari, wamepimwa virusi vya corona. Ligi kuu ya soka inatarajiwa kuregea rasmi ijumaa hii na kuendelea na raundi ya 17.

Feedback