Athari za Mvua: Mafuriko yashuhudiwa miji tofauti, misongamano ya magari yashuhudiwa Nairobi
12th May, 2021
Wakenya katika maeneo mbali mbali humu nchini wamelalamikia athari za mvua inayozidi kunyesha. Shule zimesombwa na maji katika kaunti ya Kisumu, huku misongamano ya magari ikishuhudiwa katika kaunti ya Nairobi.