×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Ufunguzi wa Shule: Wauzaji wa vitabu wasema biashara imeathiriwa sana na Covid-19

11th May, 2021

Wakati shule zinapozidi kufunguliwa, changamoto kama za usafiri zinashuhudiwa kote nchini. Maeneo ya katikati ya jiji la Nairobi, wanafunzi walikongamana kwenye vituo vya mabasi tayari kuelekea shuleni. Hata hivyo, wauzaji vitabu wanasema wazazi hawajitokezi. Na kwenye baadhi ya shule, ulipaji karo tayari una changamoto.

.
RELATED VIDEOS