x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Gavana wa Murang’a Mwangi wa Iria amekashifu mikutano ambayo imekuwa ikifanyika eneo la mlima Kenya

10, May 2021

Gavana wa murang’a mwangi wa iria amekashifu mikutano ambayo imekuwa ikifanyika na baadhi ya wanasiasa kutoka eneo la mlima kenya kwenye hoteli kadha wa kadha huku akisisitiza kuwa jamii ya gema haitoraiwa na wanasiasa katika uchaguzi mkuu ujao ila eneo hilo linauwezo wa kumtoa kiongozi wao .haya yanajiri huku baadhi ya wanasiasa kutoka eneo la mlima kenya wakijitokeza huku wakitaka kumrithi rais uhuru kenyatta.

Feedback